SUALA la waamuzi wasaidizi kuchelewa kuinua kibendera cha kuotea huenda ikawa historia baada ya FIFA kutangaza teknolojia ...
Je, una orodha ndefu ya manunuzi unayohitaji kukumbuka? Au majina ya wageni wa mkutano muhimu? Kuna mbinu za kumbukumbu tunazotumia kufundisha ubongo ili ufanye kazi vizuri zaidi. Hii ni njia ...
ARUSHA: Mbunifu Mosety Baita kutoka jijini Arusha amebuni mashine maalumu ya kisasa inayolenga kuokoa maisha ya watoto ...
Utafiti ambao unafanyia majaribio teknolojia inayodaiwa kuwa na uwezo wa kutofautisha watu wapenzi wa kawaida na wapenzi wa jinsia moja umezua mzozo mkali kati ya waliotayarisha teknolojia hiyo na ...
Bara la Afrika linasalia kua bara linalokua katika matumizi ya teknolojia katika michezo. Hata hivyo hivi karibuni michuano mingi ya shirikisho la soka barani Afrika CAF kama vile AFCON imeonekana ...
Mashirika kote duniani yamewekeza hela nyingi kwenye teknolojia ya akili mnemba ila changamoto zimejitokeza. Gharama na faida ambayo havitabiriki, kupungua kwa watumiaji ni ishara kuwa mambo huenda ...
MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimelekeza nguvu kuwekeza katika tafiti, ubunifu na teknolojia za ...
Marekani inaendelea kutawala teknolojia ya akili mnemba, huku China ikiongeza kasi kwa kutengeneza mifumo ya gharama nafuu na kupanga kujenga uchumi unaotegemea Akili Mnemba katika siku zijazo. Mwaka ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results